September 6 2010
Ndugu wapendwa naomba msamaha kwa kutoweka masomo ya Misa ya kila siku katika blog hii kwa muda mrefu. Sababu nilikuwa nimeiweka wazi. Sasa nimefika nyumbani na nina vitabu muhimu kwa ajili ya kazi hiyo. Nimeanza jana kuweka Masomo ya Misa kutoka Kitabu cha Masomo. Nitaendelea kufanya hivyo kwa siku zijazo. Nawatakia usomaji mwema na tafakari njema ya Neno la Mungu.
G. Mutarubukwa