Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
liturjia-takatifu.over-blog.com's name

Hii blog ni kwa ajili ya kuitikia mwaliko wa Mtaguso wa pili wa Vatikano wa kuwafanya wakatoliki wote waifahamu liturjia takatifu wanayoiadhimisha. Nitatoa utafiti wangu juu ya liturjia na nitakuwa tayari kujibu maswali yenu juu ya liturjia. Karibuni sana!The aim of this blog is to impart liturgical knowledge to the people of God. It targets mainly the people from the swahili speaking countries. Welcome for the sharing of knowledge about our liturgy!

Namaliza uzembe na kurudi ulingoni!!

Wapendwa wasomaji na wote mnaotembelea blog yangu ya "ijue liturjia takatifu",

Nawaomba sana msamaha kwa kutoandika article au web page yoyote kwa kipindi cha mwaka mzima hivi. Ni uzembe mbaya ambao kwa kweli inabidi niombe msamaha na kujitahidi kuushinda. Nitaanza tena kuandika katika blog hii baada ya kuona kwamba kuna watu ambao bado wanasoma blog yangu na wanaitembelea. Naomba pia mnikumbushe kama nikijisahau kama nilivyokuwa nimefanya. Nashukuru sana kwa waliojitahidi kunikumbusha na naomba msamaha kwa kutosikiliza yale waliyoniomba. Nawatakia siku njema leo tarehe 4 Agosto siku ya Mt. Yohana Maria Vianney Paroko wa Ars Ufaransa.

Share this post
Repost0
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post
G

The language used here is Swahili!!

Reply
E

What is this language? I can not understand!

Reply
G

Nimefurahi kama kweli unarudi ulingoni, karibu tena maana angalau tukiangalia tutakutana na mambo mapya.
Mungu akutie nguvu. Kwa kichina wanasema "jiayou" yaani ongeza bidii.
tuko wote katika yeye awezaye yote

Reply
G

Asante sana kwa comment yako. Nimeamua kurudi ulingoni mbali na kwamba nilibanwa na shughuli pamoja na uzembe na shida za mtandao. Nakutakia masomo mema na siku njema!! Mungu azidi kukubariki.