Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
liturjia-takatifu.over-blog.com's name

Hii blog ni kwa ajili ya kuitikia mwaliko wa Mtaguso wa pili wa Vatikano wa kuwafanya wakatoliki wote waifahamu liturjia takatifu wanayoiadhimisha. Nitatoa utafiti wangu juu ya liturjia na nitakuwa tayari kujibu maswali yenu juu ya liturjia. Karibuni sana!The aim of this blog is to impart liturgical knowledge to the people of God. It targets mainly the people from the swahili speaking countries. Welcome for the sharing of knowledge about our liturgy!

daily life

08/04/2011 From Overblog

Namaliza uzembe na kurudi ulingoni!!

Wapendwa wasomaji na wote mnaotembelea blog yangu ya "ijue liturjia takatifu", Nawaomba sana msamaha kwa kutoandika...

Learn more

07/07/2010 From Overblog

Machweo ya jua huko Kifuru Dar es Salaam: Mtazamo wa Muda na Mazingira yetu

Mungu ametubariki sana watanzania na waafrika kwa ujumla. Unaona jinsi jua linavyotoka kwa muda muafaka na kuzama...

Learn more

07/07/2010 From Overblog

Kwa ndugu zangu wapendwa katika Kristu!

Wapendwa katika Kristu, Nawakaribisha kwa moyo mkunjufu katika blog hii inayozungumzia mambo ya liturjia. Nitajitahidi...

Learn more