Hii blog ni kwa ajili ya kuitikia mwaliko wa Mtaguso wa pili wa Vatikano wa kuwafanya wakatoliki wote waifahamu liturjia takatifu wanayoiadhimisha. Nitatoa utafiti wangu juu ya liturjia na nitakuwa tayari kujibu maswali yenu juu ya liturjia. Karibuni sana!The aim of this blog is to impart liturgical knowledge to the people of God. It targets mainly the people from the swahili speaking countries. Welcome for the sharing of knowledge about our liturgy!
Wapendwa wasomaji na wote mnaotembelea blog yangu ya "ijue liturjia takatifu", Nawaomba sana msamaha kwa kutoandika...
Learn moreSherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme Jumapili ya 34 ya Mwaka Kesho tunaadhimisha sherehe ya Bwana wetu Yesu...
Learn moreNdugu wapendwa naomba msamaha kwa kutoweka masomo ya Misa ya kila siku katika blog hii kwa muda mrefu. Sababu nilikuwa...
Learn moreNatimiza ahadi yangu ya kukuletea habari juu ya Misa ya Kiafrika huko Ujerumani, ijulikanayo zaidi kama "Afrikanische...
Learn moreKesho tarehe 1 Agosti 2010 katika Kanisa la Parokia ya Mt. Petro mjini Wolfenbuettel, Ujerumani, kutakuwa na adhimisho...
Learn moreMasomo ya Liturjia: mwanafunzi au mtaalamu mambo ya Liturjia anafanya nini? Mwanafunzi au mtaalamu wa mambo ya...
Learn moreLiturjia na Elimu katika Liturjia ni nini? Leo nina mambo mawili ya kuzungumzia na kushirikishana kwa ufupi tu....
Learn moreMwaka wa Kanisa [1] (Sehemu ya kwanza) Mwaka wa Kanisa ni maadhimisho ya Matendo makuu ya Ukombozi wetu katika...
Learn moreMungu ametubariki sana watanzania na waafrika kwa ujumla. Unaona jinsi jua linavyotoka kwa muda muafaka na kuzama...
Learn moreWapendwa katika Kristu, Nawakaribisha kwa moyo mkunjufu katika blog hii inayozungumzia mambo ya liturjia. Nitajitahidi...
Learn more