Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
liturjia-takatifu.over-blog.com's name

Hii blog ni kwa ajili ya kuitikia mwaliko wa Mtaguso wa pili wa Vatikano wa kuwafanya wakatoliki wote waifahamu liturjia takatifu wanayoiadhimisha. Nitatoa utafiti wangu juu ya liturjia na nitakuwa tayari kujibu maswali yenu juu ya liturjia. Karibuni sana!The aim of this blog is to impart liturgical knowledge to the people of God. It targets mainly the people from the swahili speaking countries. Welcome for the sharing of knowledge about our liturgy!

Top posts

 • Sherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme

  20 November 2010 ( #Liturjia (Liturgy) )

  Sherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme Jumapili ya 34 ya Mwaka Kesho tunaadhimisha sherehe ya Bwana wetu Yesu Kristu Mfalme. Sherehe hii uangukia Jumapili ya mwisho ya mwaka wa Kanisa, yaani Jumapili ya 34 ya mwaka. Baada ya juma tunalolianza kesho...

 • Mwaka wa Kanisa

  08 July 2010 ( #Liturjia (Liturgy) )

  Mwaka wa Kanisa [1] (Sehemu ya kwanza) Mwaka wa Kanisa ni maadhimisho ya Matendo makuu ya Ukombozi wetu katika kipindi cha mwaka mzima.[2] Mungu ametukomboa na utumwa wa dhambi kwa kumtuma Mwanae mpenzi Bwana wetu Yesu Kristu. Kristu ametukomboa kwa kukubali...

 • Kwa ndugu zangu wapendwa katika Kristu!

  07 July 2010 ( #Daily Life )

  Wapendwa katika Kristu, Nawakaribisha kwa moyo mkunjufu katika blog hii inayozungumzia mambo ya liturjia. Nitajitahidi sana kila siku kuweka jambo jipya linaelimisha na kufunza juu ya imani yetu na zaidi juu ya liturjia takatifu. Katika blog hii nitatumia...

 • Machweo ya jua huko Kifuru Dar es Salaam: Mtazamo wa Muda na Mazingira yetu

  07 July 2010 ( #Daily Life )

  Mungu ametubariki sana watanzania na waafrika kwa ujumla. Unaona jinsi jua linavyotoka kwa muda muafaka na kuzama kwa muda muafaka. Summer hii nipo Ujerumani kwenye mji ujilikanao kama Wolfenbüttel. Watu ni wema na wanapenda sana watanzania na nchi yetu...

 • Misa ya Kiafrika Ujerumani au "Die afrikanische Messe"

  05 August 2010 ( #Liturjia (Liturgy) )

  Natimiza ahadi yangu ya kukuletea habari juu ya Misa ya Kiafrika huko Ujerumani, ijulikanayo zaidi kama "Afrikanische Messe". Baada ya kusoma habari hii utaweza kujua kwa nini Misa hii inaitwa "Afrikanische". Tarehe 1 Agosti 2010 tumeadhimisha Misa hapa...

 • Liturjia ni nini?

  09 July 2010 ( #Liturjia (Liturgy) )

  Liturjia na Elimu katika Liturjia ni nini? Leo nina mambo mawili ya kuzungumzia na kushirikishana kwa ufupi tu. Kwanza ni kueleza undani wa Liturjia na pili kueleza kile mtu anachofanya anapojifunza kuhusu liturjia. Nilikuwa siku moja natembea natembea...

 • MASOMO YA MISA

  06 September 2010 ( #Liturjia ya leo )

  Ndugu wapendwa naomba msamaha kwa kutoweka masomo ya Misa ya kila siku katika blog hii kwa muda mrefu. Sababu nilikuwa nimeiweka wazi. Sasa nimefika nyumbani na nina vitabu muhimu kwa ajili ya kazi hiyo. Nimeanza jana kuweka Masomo ya Misa kutoka Kitabu...

 • Misa Maalum ya Kiafrika Ujerumani

  31 July 2010 ( #Liturjia (Liturgy) )

  Kesho tarehe 1 Agosti 2010 katika Kanisa la Parokia ya Mt. Petro mjini Wolfenbuettel, Ujerumani, kutakuwa na adhimisho maalum la Ekaristi Takatifu lijulikanalo kama "Afrikanische Messe" yaani Misa ya kiafrika. Itakuwa kesho saa 5 asubuhi na kuendelea....

 • Elimu ya Mambo ya Kiliturjia

  13 July 2010 ( #Liturjia (Liturgy) )

  Masomo ya Liturjia: mwanafunzi au mtaalamu mambo ya Liturjia anafanya nini? Mwanafunzi au mtaalamu wa mambo ya liturjia anatafuta kujua zaidi undani wa teolojia ya Liturjia, uhusiano wake na shughuli za kichungaji, chanzo, maendeleo na mabadiliko yake...

 • Namaliza uzembe na kurudi ulingoni!!

  04 August 2011 ( #Daily Life )

  Wapendwa wasomaji na wote mnaotembelea blog yangu ya "ijue liturjia takatifu", Nawaomba sana msamaha kwa kutoandika article au web page yoyote kwa kipindi cha mwaka mzima hivi. Ni uzembe mbaya ambao kwa kweli inabidi niombe msamaha na kujitahidi kuushinda....